• Application Ambazo Hutakiwi Kukosa Kama Unafanya Biashara

  • Nov 28 2023
  • Length: 12 mins
  • Podcast

Application Ambazo Hutakiwi Kukosa Kama Unafanya Biashara

  • Summary

  • Application ambazo hutakiwi kukosa kama unafanya biashara Kuna application nyingi ambazo upo nazo kwenye simu yako lakini wewe kama mfanyabiashara karibu nikuambie application ambazo kama unataka kufanikiwa uwezi kuzikosa kwenye simu. Katika Episode hii Tutachunguza application Tano kwa undani jinsi gani zitarahisisha utendaji wa biashara, na pia kuboresha ufanisi, mawasiliano, na matokeo ya kifedha. Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital255
    Show More Show Less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2
activate_samplebutton_t1

What listeners say about Application Ambazo Hutakiwi Kukosa Kama Unafanya Biashara

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.