• Jinsi ya Kuandika Maudhui ya Kimtandao (Content) Yenye Kuvutia.

  • Dec 5 2023
  • Length: 11 mins
  • Podcast

Jinsi ya Kuandika Maudhui ya Kimtandao (Content) Yenye Kuvutia.

  • Summary

  • Jinsi ya Kuandika Maudhui ya Kimtandao (Content) Yenye Kuvutia. Leo, tutajadili mambo muhimu ya kuzingatia unapotaka kutengeneza maudhui ya kimtandao ambayo yatavutia wasomaji wako na kuwafanya waweze kuchukua hatua. Kujenga maudhui ya kimtandao yenye nguvu na yenye kuvutia ni muhimu sana katika ulimwengu wa leo unaoshiba habari. Ndiyo sababu, katika Episode hii, tutakupa mwongozo wa hatua kwa hatua juu ya jinsi ya kuanza na maudhui ya kimtandao yenye nguvu. Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital255
    Show More Show Less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2
activate_samplebutton_t1

What listeners say about Jinsi ya Kuandika Maudhui ya Kimtandao (Content) Yenye Kuvutia.

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.